Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Simba sasa imejipata chini ya Fad,
Wanacheza mpira level za hali ya juu mnoo.
Safu ya ulinzi ni imara sana hasa Hawa wingsback wanaforce kushambulia had raha.
Kiongo kimeimarika sana kiasi kinarahisisha attacking hasa wakina Mutale na mikwala ni ku weka tu WAAH.
 
Mdogo mdogo watatuelewa mbona
 
Ahoua anamfanya Mukwala aonekane hajui kitu.
 
Ina Ahmed Ally Voice!!!!!! Umemsahau Debora.
 
Shabalala mi simkubali kabisa huyu jamaa...anacheza mpira wa kizamani sana hana faida timu inaposhambulia
 
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜ mbona jamaa hajakosea bro? Mjibu, wanagombea nini hapo uwanjani?
Pamoja na kuwa huu mpango wa TFF sio mzuri ila kuna kitu kinaitwa to return to Community
 
Kwa kikosi cha bilioni 7 huu ni utopolo mkubwa!
Na mashabiki kama nyie ambao hamsemi ukweli mtaigharimu sana timu.Maana hata hii mechi tu tumeanza kuona uvivu na ujinga wa msimu uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…