Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Aisee huyu mshika kibendera muongo balaa.
 
Timu inapewa magoli ya kihuni mpaka mtu unaona aibu, Halafu mashabiki wao walivyo vilaza wanasema wana timu ya kushinda CAF Champions league.
 
Coastal Union wamepata nafasi nyingi sana ila kuzitumia ndio wameshindwa
 
Timu inapewa magoli ya kihuni mpaka mtu unaona aibu, Halafu mashabiki wao walivyo vilaza wanasema wana timu ya kushinda CAF Champions league.
Wala sio shida zetu hizo,kila mtu ashinde matches zake kwa namna yake
 
Timu inapewa magoli ya kihuni mpaka mtu unaona aibu, Halafu mashabiki wao walivyo vilaza wanasema wana timu ya kushinda CAF Champions league.
Mangungu Out FC ukipenda waite Mbumbumbu FC katika ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…