Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Aliyekuumba wewe na vyote vijazavyo duniaMungu yupi 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuumba wewe na vyote vijazavyo duniaMungu yupi 😀
thibitisha uwepo wakeAliyekuumba wewe na vyote vijazavyo dunia
Uthibitisho upo kisogoni mwako, tazama kisogo chako vizuri utauona uwepo wake.thibitisha uwepo wake
inaonesha akili yako ilivyo na haupo sawa sawaUthibitisho upo kisogoni mwako I tazama kisogo chako vizuri utauona uwepo wake.
Kila laheri Mnyama 🦁 🦁 🦁
aiseeUthibitisho upo kisogoni mwako I tazama kisogo chako vizuri utauona uwepo wake.
Kila la heri kwa wawakilishi halisi wa kimatifa na waleta furaha Tanzania
Mnyama Mkubwa Mwituni chukua alama zako 3 hapo ugenini, urudishe heshima ya nchi iliyochafuliwa na Utopolo🦁🦁🦁🦁View attachment 3171769
Taifa lipi lenye machozi? Sababu gani?Taifa litafutwa machozi baadae
Si kweli, utopolo hawezi kuliaibisha taifa, wanamwaibisha single maza wao mobeto labda na ki.Kuna watu kazi yao ni kuliaibisha Taifa letu la Tanzania na wanawapa kazi Simba kulisafisha!
Tuwe serious, taifa linatiwaje aibu na utopolo?Leo Taifa halitatiwa Aibu, MUNGU ni wetu sote.