Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024


Naona leo mnapiga mabomu mochwari
Waache wameutaka wenyewe!
 
Hifadhi hii comment mzee,utakuja kunikumbuka.

Case closed.
 
ndogo hucheza kabla ya sikukuu kubwa hucheza siku kuu maana ndizo zenye washabiki wengi wanaohitaji furaha
Ratiba leo... English PL, Scottish PL, Serie A, La Liga, Bundesliga, etc. kote hakuna mechi.. wakubwa wote tumepumzika...
 
Haters bado hamjasema🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kule Lubumbashi hakuna CCTV? kwanini hamtaki kutumia fursa hii kupeleka vielelezo vyenu FIFA ili hatua zichukuliwe?
Mkuu, FIFA wanaogopa kulogwa.
 
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira

1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani

2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.

Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
haya tuyafute yale matatu liwe moja. MATOKEO NBC LEO DODOMA JIJI FC 0 VS 1 YOUNG AFRICANS SC. umeridhika.
 
Kwa hiyo Dodoma walitaka kupishana na Yanga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hizo kauli huwa mara nyingi zinatengenezwa na kushadadiwa na kolowitches.
 
Simba anashinda mechi zake kwa kupambana, yanga alishinda kabla hata ligi haijaanza, rehea udhamini wa gem ja pattern ya ushindi wa yanga dhidi ya timu dhaminiwa



Nani asiyejua kocha wa dodoma ni yanga asilia? Hii mechi ni staged
huyu kapigwa 4 n staged aya aliyepigwa tano ni nini
 
Makolo lazima warudishe usemi wao kuwa GSM ana haribu ligi.
Tarehe 28 simba wanapoteza points 3. Labda wafanye miamala nje ya uwanja. Na tunawawekea mtego wa TAKUKURU. Baada ya hapo wataanza kujifanya wanafuatilia mechi za ulaya tu lakini huku Bongo watakuwa wanailaumu GSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…