Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Madrid alijipiga risasi za miguu mwenyewe dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Kabisa hii game walikuwa wanaimaliza mapema sana tu ila ubinafsi wa Vini Jr na Mbape umewagharimu.

Barcelona ni kuanzia viungo kwenda mbele ila huku nyuma hamna kitu kabisa defense Iko wazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…