Maombi yapi na thibitisha uwepo wa Mungu?MUNGU ANA JIBU MAOMBI
Halafu wewe nilikua nakuonaga wa maana kumbe ni shabiki wa Yanga???Ndio mashabiki wa foundation gate tumeyafurahia matokeo pamoja na figisu za refa tumefanikiwa kupata point
Tajiri huna baya tajiri πMkuu nitawanyima kuwa host wenu kwenye nchi za watu kama mnaendekeza ujinga huu.ππππ
PoleWewe kijana akili hauna kabisa
Maumivu MaumivuHalafu wewe nilikua nakuonaga wa maana kumbe ni shabiki wa Yanga???
Hata yale mazuri ambayo umekuwa ukiyaandika naanza kuyatilia mashaka.
Mkuu siyo Simba tu hata Yanga ingetokea scenario kama ile wangenyamaza tu?Na angefanya hilo kosa kwenye mechi ya Yanga, lazima wangemtuhumu kupokea rushwa. Yaani sumba ni timu yenye mashabiki na viongozi wenye mihemko sana.
Njaa ni lazima mshinde..Yaani kwa namna yoyote lazima Simba tushinde
π π π π uchawa ndio akili kibongo bongo lakini π π πTajiri huna baya tajiri π
Vijana jiangalieni lakini , kuwa mshabiki wa uto kume kupa nini maishani?Pole
πππ usifanye hivyoHalafu wewe nilikua nakuonaga wa maana kumbe ni shabiki wa Yanga???
Hata yale mazuri ambayo umekuwa ukiyaandika naanza kuyatilia mashaka.
Lakini wapi.Yule ni mpumbavu sana ndio maana kapeleka hadi 102
Mkuu unaandika madini sana ila hao washabiki wa uto walisha kupa shilling ngapi ? Kuendeleza harakatiπππ usifanye hivyo
Saizi kila mtaloliongea mtakuwa sahihiNa angefanya hilo kosa kwenye mechi ya Yanga, lazima wangemtuhumu kupokea rushwa. Yaani sumba ni timu yenye mashabiki na viongozi wenye mihemko sana.