Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Ubaya ubwela 😂 😀😃😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Cc Jadda Kalpana
20250206_185741.jpg
 
Na angefanya hilo kosa kwenye mechi ya Yanga, lazima wangemtuhumu kupokea rushwa. Yaani sumba ni timu yenye mashabiki na viongozi wenye mihemko sana.
Saizi kila mtaloliongea mtakuwa sahihi

Hata kama mtasema msimu huu Simba inashuka daraja pia mpo sahihi.

Tunajua furaha ni kilevi kibaya...
 
Back
Top Bottom