Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Mpira wa bongo umetawaliwa sana na siasa pamoja na hongo hii faulo ilihitajika uwekwe ukata mana ni eneo la mwisho sasa refa karuhusu vipi kuanzishwa mpira kwa kushtukiza na kuleta kati? Huu ujinga wa kiwango cha rami kabisa
 
Poleni sana
 
Nasikilizia upendoo tv

Wimboo WA. Ooh mashangazii wajuee

Ooh wewe n mshindiiiiiiiii
 
page ya " Vyura malalamiko" zikianza kuingia sms mfululizo unajua Simba anaongoza.
 
Back
Top Bottom