Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kwan mzee mpili anasemaje?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile mechi iikuwa ni dhidi ya majiamaji?Majimaji Stadium.
Polee mkuuMara ya mwisho kuaangalia upuuzi huu
Umejifunza lini na wapi urefa?Hii ngoma ni offside
Poleni sanaMpira wa bongo umetawaliwa sana na siasa pamoja na hongo hii faulo ilihitajika uwekwe ukata mana ni eneo la mwisho sasa refa karuhusu vipi kuanzishwa mpira kwa kushtukiza na kuleta kati? Huu ujinga wa kiwango cha rami kabisa
Malizia SongeaMajimaji Stadium.
Tazama tena beki aliyekuwa anamkaba Chasambi alikuwa wapi. Au sheria za soka unafundishwa na NifahHii ngoma ni offside
AzamIle mechi iikuwa ni dhidi ya majiamaji?

Nimekuonea huruma unavyolia mkuu, pole sanaHaya mambo ya kipuuzi ndiyo yanayotufanya tuishie robo fainali kwenye michuano mikubwa kila mwaka. Uhuni wa kipumbavu kabisa.
Offside ni kwa mfungaji au aliye assist?Ukiachana na hilo la kusubiri filimbi, kulikuwa na offside