Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Ili yanga atoboe, mechi hii iisheje
MC Alger wakishinda safari yenu ndio imeishia hapo ila Al Hilal wakishinda bado mnaweza kuwa na matumaini, sema ndio nazidi kuona umuhimu wa ule msemo wa "kila mtu ashinde mechi zake", tofauti na hapo ndio matokeo yake mnaanza kupiga zile hesabu za "tuki" na "waki" ili mrahisishiwe
 
Moja ya mechi nzuri sana leo
 
37'

Kona inapigwa kuelekezwa Al Hilal
 
Wewe jamaa unaangalia mpira kwa mihemko wa kishabiki sana, timu hulazimishwa kucheza mpira fulani na mpinzani wake sio kwa kupenda yeye. Angalia Al Hilal alivyokuwa Dar alizidiwa possession hadi idadi ya on target lakini sio kwa kupenda bali kulazimishwa kuwa yeye awe mtu wa kusubiri counter attack. Hao hao Mc Alger unaowaona leo wapya walitoka sare na Tp Mazembe. Ndio maana nikwakwambia angalia yale yaliyokukuta kwa Belouizdad kwa kukariri isijekukuta tena
 
Hata wewe mwenyewe unajua kuwa mazingira yaliyotokea kwa Belouzdad ni tofauti na sasa.
 
Mchezaji wa Mc Algier Labdyi kapokea kadi ya njano
 
Hata wewe mwenyewe unajua kuwa mazingira yaliyotokea kwa Belouzdad ni tofauti na sasa.
Tunaanza na kwako kwanza hater je hukuipiga kejeli kuwa Yanga ndio safari imeiva baada ya mechi tatu kuambulia point 2 tu huku wenzie wote wakiwa na point 5 na 4?
 
Tunaanza na kwako kwanza hater je hukuipiga kejeli kuwa Yanga ndio safari imeiva baada ya mechi tatu kuambulia point 2 tu huku wenzie wote wakiwa na point 5 na 4?
Nimekuambia hata wewe unaelewa mazingira ya kipindi kile sio ambayo yapo leo.

Timu yenu ya sasa hali yake ilivyo sio ya kuitumainia kushinda mechi 3 tena katika hizo 3 kuna 1 ya ugenini.
 
Baada ya kutoka kuangalia yale mataputapu ya Mchana hatimae sasa tunaangalia Mechi nzuri kutoka kwa Wandewa wa Jiji.
 
Reactions: BRN
Yanga angalieni waume zenu wawili wanavyocheza soka safi hapa.... mnaweza kupata cha kujifunza viwili vitatu vikawasaidia mkamaliza nafasi ya Tatu kwenye kundi.
 
Reactions: BRN
Mc alger wanafanya mashambulizi kulisaka lango
 
Hii mechi Bado haiamui kundi
Kwanini isiamue?Mc Alger akishinda anakuwa na point 7, Al Hilal anabakia na point 6,huoni ugumu unakuja Yanga atatakiwa ashinde mechi zote hadi za ugenini?
 
Baada ya kutoka kuangalia yale mataputapu ya Mchana hatimae sasa tunaangalia Mechi nzuri kutoka kwa Wandewa wa Jiji.
Aisee ile ya mchana ilikuwa siyo mechi hata timu za kwenye ligi yetu kina Dodoma Jiji hawachezi vile,ile ni takataka ongezea na kamera mbovu ya Azam.
 
Kwanini isiamue?Mc Alger akishinda anakuwa na point 7, Al Hilal anabakia na point 6,huoni ugumu unakuja Yanga atatakiwa ashinde mechi zote hadi za ugenini?
Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al Hilal
Al Hilal hayupo Sudan yupo Mauritania ambapo hana mashabiki kwaiyo tutakuwa kama tupo neutral ground
Na kumbuka tutakuwa tumepata boka kutoka majeruhi na usajili wa wachezaji muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…