Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

🤣🤣🤣🤣 hapa tungekuwa na arthur bada hawa morocco wangeisoma namba
 
Muendelee kutupa update za game sisi wa vijijini huku katombasongwe.
 
Vijana wamepambana ila daraja la Morocco bado ni kubwa kwa kufungwa 2 kunakitu upande wetu kimeongezeka maana uwa wana tukanda 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…