Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Watashangilia sana kama wamewafunga al hilali au mc alger au tabora united lakini.....wameifunga timu zolfu hali...timu iliyosajili kelvin yondan mfanyabiashara na muuza duka kitambo jijini dar es salaam na mikoani...mpaka biashara itakuwa imekwisha NBC ligi ni nyepesi kwao ni utelezi mtihani wakifika huko wanakwama tu....!
Ndio mechi zake hizoDubeeeeeeπ
Goli la 5 tunaomba bango liwekwe palepale Tegeta kibaoni ili kolo wakitoka bunju walione na liwe linawakumbusha kitu
Tarehe 5Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na kuruhusu magoli 6 wakiwa wamejikusanyia alama 42.
Ken Gold wanaingia wakiwa katika nafasi ya 16 wakiwa wamecheza michezo 16 wakishinda mchezo 1 sare 3 na wamepoteza michezo 13 huku wakifunga magoli 11 na kufungwa magoli 29 wakiwa na alama 6.
Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 3226134
View attachment 3226080
Muda wowote kipute kitaanza wachezaji wapo uwanjani.
Dk3 Goaaaal Prince Cube anawafungia Wananchi bolo LA kuongoza.
Dk6 Gooaaal Clement Mzize anawafungia wananchi goli LA pili.
Dk ya 27 matokeo back ni 2-0 na Yanga wanacheza mpira wa kuvutia hapa.
Dk39 Pacome anawafungia wananchi goli LA 3.
Goooaaaaaaal Mzize Anafunga goli LA nne.
HT: Young Africans 4 vs 0 Kengold.
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na kuruhusu magoli 6 wakiwa wamejikusanyia alama 42.
Ken Gold wanaingia wakiwa katika nafasi ya 16 wakiwa wamecheza michezo 16 wakishinda mchezo 1 sare 3 na wamepoteza michezo 13 huku wakifunga magoli 11 na kufungwa magoli 29 wakiwa na alama 6.
Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 3226134
View attachment 3226080
Muda wowote kipute kitaanza wachezaji wapo uwanjani.
Dk3 Goaaaal Prince Cube anawafungia Wananchi bolo LA kuongoza.
Dk6 Gooaaal Clement Mzize anawafungia wananchi goli LA pili.
Dk ya 27 matokeo back ni 2-0 na Yanga wanacheza mpira wa kuvutia hapa.
Dk39 Pacome anawafungia wananchi goli LA 3.
Goooaaaaaaal Mzize Anafunga goli LA nne.
HT: Young Africans 4 vs 0 Kengold.
Dk 46 Dube anafunga goli la 5 kwa Yan n
Leo ni tarehe 5,na tayari magoli matano yamesha ingia.Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na kuruhusu magoli 6 wakiwa wamejikusanyia alama 42.
Ken Gold wanaingia wakiwa katika nafasi ya 16 wakiwa wamecheza michezo 16 wakishinda mchezo 1 sare 3 na wamepoteza michezo 13 huku wakifunga magoli 11 na kufungwa magoli 29 wakiwa na alama 6.
Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 3226134
View attachment 3226080
Muda wowote kipute kitaanza wachezaji wapo uwanjani.
Dk3 Goaaaal Prince Cube anawafungia Wananchi bolo LA kuongoza.
Dk6 Gooaaal Clement Mzize anawafungia wananchi goli LA pili.
Dk ya 27 matokeo back ni 2-0 na Yanga wanacheza mpira wa kuvutia hapa.
Dk39 Pacome anawafungia wananchi goli LA 3.
Goooaaaaaaal Mzize Anafunga goli LA nne.
HT: Young Africans 4 vs 0 Kengold.
Dk 46 Dube anafunga goli la 5 kwa Yanga
Nyuma mwiko 3-1 taboraKama lile bonanza la tabora
Kolo bin mbumbumbu katika ubora wako.Watashangilia sana kama wamewafunga al hilali au mc alger au tabora united lakini.....wameifunga timu zolfu hali...timu iliyosajili kelvin yondan mfanyabiashara na muuza duka kitambo jijini dar es salaam na mikoani...mpaka biashara itakuwa imekwisha NBC ligi ni nyepesi kwao ni utelezi mtihani wakifika huko wanakwama tu....!
Nyie Mnautofauti gani na KenGold?Uto anajipigia tu huko kaokota dodo chini ya mwembe
KenGold ni kikundi cha wahuniNyie Mnautofauti gani na KenGold?
Simba wamechangia pointi 3 kwa Yanga nakukumbusha tu.Utopolo timu ya mechi ndogo ndogo kama hizi
Kazi ipo kwa hawa wehuKolo bin mbumbumbu katika ubora wako.
Kufungwa anafungwa Ken gold maumivu anapata kolo mitaa ya msimbazi.
Bado hatujaskia GSM anaharibu ligi.
Nilijua tuπ πNdio mechi zake hizo
Tarehe 5 mwezi wa 11 2023 mbumbumbu 1-5 yangaWATU WAMEPIGA BOMU MOCHWARI π£ π£ π£ THEN WANAJISIFU WAMEUA ππππ
Kuna mtu anasema "keni dhahabu wabovu",Utopolo timu ya mechi ndogo ndogo kama hizi