Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Haya meusi yapigwe tu hakuna namna. Mengine yapo Tanzanite kwaraa mjini babati mkoani manyara yamegoma kurudi dar kutokana na kipigo cha mbwa mwizi yalichokipata jana. yamebaki kukodolea macho kombe moja tu nalo hayalipati.!
🤣🤣🤣 Babati - Dar ukiwa na makasiriko hiyo ni safari ndefu sana.
Wajipange kwanza vizuri.
 
Mechi saa ngapi kwa saa za Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…