Sababu ya Simba kula kipigo cha 3 1 dhidi ya Singida.Hapa najua mashabiki wengi wa yanga wanatamani pyramids washinde kwa sababu ya mayele, cha ajabu eti lengo lao wawatambie simba kwamba mchezaji aliyetoka kwenye timu yao amebeba cafcl sasa sijui wao inawasaidia nini, wanasahau hata samatta alitoka simba akaenda kubeba cafcl akiwa na tp mazembe sasa sijui cha ajabu ni kipi hapo
Acha uchizi bas wewe utopoloSababu ya Simba kula kipigo cha 3 1 dhidi ya Singida.
View attachment 3352960
Makolo nimewaokotea kibegi chenu cha makombe mlichokitupa.Acha uchizi bas wewe utopolo
Wala siyo ajabu ni kama ninyi tu mnapochezaga na timu ambazo hazidhaminiwi na gsm, mkiona timu haidhaminiwi na gsm (mfano simba na azam) na mnajua mtapata taabu kuifunga mnacheza mechi nje ya uwanja, halafu mkishinda uwanjani mnajifanya mna timu bora ila mkienda kimataifa watu wanajipigia tuSababu ya Simba kula kipigo cha 3 1 dhidi ya Singida.
View attachment 3352960
Mimi mwanzo nilitamani mamelodi washinde sababu nilidhani pyramids wakishinda, watatushusha simba kwenye caf ranking ila baada ya kujua kwamba hata pyramids wakishinda, hawawezi kutushusha kwenye hiyo nafasi yetu basi sina wasiwasi yeyote ashinde tuMamelodi kila la kheri kwake.
Japo Mwenye team alituumiza Simba, nimemsamehee.
Kama alivyojipigia Berkane juzi hapo.Wala siyo ajabu ni kama ninyi tu mnapochezaga na timu ambazo hazidhaminiwi na gsm, mkiona timu haidhaminiwi na gsm (mfano simba na azam) na mnajua mtapata taabu kuifunga mnacheza mechi nje ya uwanja, halafu mkishinda uwanjani mnajifanya mna timu bora ila mkienda kimataifa watu wanajipigia tu
Mayele analifahamu goli kusema ukweli.
Quality, watu nafasi moja tu goli. Huku kwetu kuna timu inajivunia kutengeneza nafasi nyingi isizozitumia.Match Day
View attachment 3352573
Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025
2000hrs
VIKOSI VYA LEO
Pyramids
View attachment 3352948
Mamelodi
View attachment 3352949
Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!!
Mchezo umeshaanza!
🤔🤔Mechi saa ngapi kwa saa za Tanzania?