Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Simba buana,mmekaa kabisa mnadhani mtapata goli 5? Hii ndoto mbaya sana
 
Wangoni hatuna haraka,tumeupoozesha mpira na wao wanatuiga.
 
Niwaombee tu Simba msije kusema mlifungwa kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…