Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Anaingiaje Kagere Wakati mmemaliza Sub Mkuu au Kumbu² Hauna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii ni CAF Champions League, sio Ligi ya Bara. Kwani huoni kwenye bench kuna wachezaji tisa? Si rahisi utopolo kuzijua kanuni za CAF CL maana huwa hawashiriki
 
Bocco siku zote ni striker anayehitaji nafasi 5 kufunga moja

Alipofunga ilibidi atolewe kwasababu alikuwa anaenda kukosa nafasi 3 au 4 atazopata baada ya hapo.

Mugalu nae sio tofauti sana.
 
Mpaka sasa hii gemu tushakubali, kitemdo cha mapumziko kwenda 1-0 basi shughuli ishakosa turubai wakati wa mvua..

Bocco kukosa goli la wazi, refa kuiminya ile penati basi tushaelekea kibla.
 
Angefunga nani saizi🤣🤣🤣,mikia buana
 
Mpaka sasa hii gemu tushakubali, kitemdo cha mapumziko kwenda 1-0 basi shughuli ishakosa turubai wakati wa mvua..

Bocco kukosa goli la wazi, refa kuiminya ile penati basi tushaelekea kibla.
Nilitaka kuandika kama wewe ila em tuendelee kuwa na hop mkuu.
 
Back
Top Bottom