NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Yap, kukosa umakini wa kutumia kila chance tunayopata itatukosti kwa sababu muda haurudi nyuma.Atleast zingekuwepo goli mbili mpk sasa, nafasi walizopoteza nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, kukosa umakini wa kutumia kila chance tunayopata itatukosti kwa sababu muda haurudi nyuma.Atleast zingekuwepo goli mbili mpk sasa, nafasi walizopoteza nyingi sana
Haiwezi kuwa.FT 1-1
We ndo hauna chief, sub ni tanoAnaingiaje Kagere Wakati mmemaliza Sub Mkuu au Kumbu² Hauna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii ni CAF Champions League, sio Ligi ya Bara. Kwani huoni kwenye bench kuna wachezaji tisa? Si rahisi utopolo kuzijua kanuni za CAF CL maana huwa hawashirikiAnaingiaje Kagere Wakati mmemaliza Sub Mkuu au Kumbu² Hauna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kakuambia Nani? Sub Ni 3We ndo hauna chief, sub ni tano
Angefunga nani saizi🤣🤣🤣,mikia buanaBocco siku zote ni striker anayehitaji nafasi 5 kufunga moja
Alipofunga ilibidi atolewe kwasababu alikuwa anaenda kukosa nafasi 3 au 4 atazopata baada ya hapo.
Mugalu nae sio tofauti sana.
Nilitaka kuandika kama wewe ila em tuendelee kuwa na hop mkuu.Mpaka sasa hii gemu tushakubali, kitemdo cha mapumziko kwenda 1-0 basi shughuli ishakosa turubai wakati wa mvua..
Bocco kukosa goli la wazi, refa kuiminya ile penati basi tushaelekea kibla.
Bado 3
Kupita ngumuEhee Mungu saidia Simba ipitee