FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Utakufa Kwa kiholo mkuu hiyo ni hatari Kwa afya yako
 
Wachambuzi wanasema ruvu walifeli kwasababu hawakupiga mipira mirefu

Na wakati huo tumeona mipira mirefu mingi mingine ilikuwa mirefu zaidi ilienda hadi juu ya lango

Mi machoweza kuwashauri ni kwamba Hakuna cha kupiga mirefu wala namna gani, ifahamike tu kua ugumu wa kubashiri mechi za simba haupo kwenye matokeo ni magoli

Simba kushinda ni uhakika sio makadirio, makadirio ni idadi gani ya magoli
 
Simba ni bora kwA waamuzi wapuuzi tu goli za offside, penati na red card tofauti na hapo hakuna timu
Kwahiyo na ASEC walipigwa nyingi kwakua waamuzi walikuwa wabaya?? Leteni waamuzi wa ulaya basi.
 
Kuna tukioa limenifanya nicheke dk za mwisho jamaa wa ruvu wanapoteza mpira ndani ya 18 yao kibwege na hawakabi wala hawana haraka
 
Simba muda wote ipo kwenye ubora wake

Kinachofanya tuone kwamba iko chini ya kiwango ni moja ya technique ya kumpa matumaini mpinzani ajione bora ajisahu

Mayele alitumia miezi kutengeneza magoli matatu, mwenzake boko katumia dakika 35 tu
Mayele anakitesa sana mzee [emoji38]
 
Mechi ambazo SSC haijafanya vyema ni zile mpinzani ali-park bus.

Sijui Mkwasa hajaliona hilo.
 
Wachambuzi waliweka under 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…