FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Sasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?

Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+

Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Utakufa Kwa kiholo mkuu hiyo ni hatari Kwa afya yako
 
Wachambuzi wanasema ruvu walifeli kwasababu hawakupiga mipira mirefu

Na wakati huo tumeona mipira mirefu mingi mingine ilikuwa mirefu zaidi ilienda hadi juu ya lango

Mi machoweza kuwashauri ni kwamba Hakuna cha kupiga mirefu wala namna gani, ifahamike tu kua ugumu wa kubashiri mechi za simba haupo kwenye matokeo ni magoli

Simba kushinda ni uhakika sio makadirio, makadirio ni idadi gani ya magoli
 
Simba ni bora kwA waamuzi wapuuzi tu goli za offside, penati na red card tofauti na hapo hakuna timu
Kwahiyo na ASEC walipigwa nyingi kwakua waamuzi walikuwa wabaya?? Leteni waamuzi wa ulaya basi.
 
Sasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?

Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+

Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Kuna tukioa limenifanya nicheke dk za mwisho jamaa wa ruvu wanapoteza mpira ndani ya 18 yao kibwege na hawakabi wala hawana haraka
 
Simba muda wote ipo kwenye ubora wake

Kinachofanya tuone kwamba iko chini ya kiwango ni moja ya technique ya kumpa matumaini mpinzani ajione bora ajisahu

Mayele alitumia miezi kutengeneza magoli matatu, mwenzake boko katumia dakika 35 tu
Mayele anakitesa sana mzee [emoji38]
 
Mechi ambazo SSC haijafanya vyema ni zile mpinzani ali-park bus.

Sijui Mkwasa hajaliona hilo.
 
Hawa wachambuzi vipi

Eti wanasema ruvu alifanya mistake ndo maana kafungwa

Hivi timu gani hapa ukanda huunwa afrika mashariki na kati ikacheza na Simba isifanye mistake?

Huyo sevilla tu ambaye ulimengu mzima unamjua kwa kandanda lakini kwa mkapa alipaki basi

Kocha wa Al Ahly anasema bora PSG kuliko msako wa simba kwa mkapa, halafu unakuja mchambuzi ambaye umeujua mpira baada ya kubeti beti unasema ooh ruvu kafanya mistake

Ni ujinga tu
Wachambuzi waliweka under 1.5
 
Back
Top Bottom