FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Simba ni bora kwA waamuzi wapuuzi tu goli za offside, penati na red card tofauti na hapo hakuna timu
Goli la offside lipi katika yale matano?

Nataka nijue ili tulitoe tuone katika oridha ili tujue yanabaki mangapi


Halafu hilo goli tuwape wao kama bonanza tuone litakuwa na msaada gani
 
274039868_261266636031458_230508465007429430_n(1).jpg
 
Tatizo unamchukia mayele, na unajua ndo forward bora/
Unataka tumsifie kagele, wakati kashadorola/
Mugalu kawa masele, chati washampora,
Angalau boko kapiga ndele, anafunga goli kwa ukora.
Nisome nachoandika mwana usikaze fuvu, bila hirizi wala mdumba acha tumchalaze ruvu.../

Dozi nayowapa wanashindwa kutema, sio kama mayele goli moja anatetema.../
 
Back
Top Bottom