Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Goli la offside lipi katika yale matano?Simba ni bora kwA waamuzi wapuuzi tu goli za offside, penati na red card tofauti na hapo hakuna timu
Nataka nijue ili tulitoe tuone katika oridha ili tujue yanabaki mangapi
Halafu hilo goli tuwape wao kama bonanza tuone litakuwa na msaada gani