FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Sasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?

Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+

Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Wewe Uto. Una habari kuwa wiki (7-0)tayari huko au unatapika wewe baada Ruvu kupewa mimba miezi 7
 
Dk 76: Kipa wa Ruvu, Nitoko anamchezea faulo Mwanuke, inakuwa faulo kuelekea Ruvu.
Chama anafunga bao la saba na la tatu kwake katika mchezo huu.
Dk 72: Goooooooooooooooooo
Dk 70: Jimmy Mwanuke anapata pasi nzuri kutokw kwa Chama na kufunga bao la sita.
Gòoooooooooooooooo
Dk 67: Simba wanapanga mashambulizo taratibu.
Dk 65: Ruvu wanapata faulo nje ya 18 lakini wanashindwa kutumia vizuri.
Dk 60: Simba wamepunguza kasi ya kushambulia na hiyo inawapa nafasi Ruvu kufika langoni kwa Simba.
Dk 55: Ruvu wanatengeneza nafasi kadhaa lakini wanakosa umakini katika umaliziaji.
Dk 50: Simba wanautuliza mchezo
Dk 48: Ruvu wameanza kwa kutulia tofauti na kipindi cha kwanza
Kipindi cha pili kimeanza.

Mapumziko: Simba wanaongoza kwa mabao 5-0
Gooooooo, Ruvu Shooting wanajifunga.
Dk 42: Mambo ni magumu kwa Ruvu
John Bocco anafunga bao la nne kwa Simba.
Dk 39: Goooooooooo
Dk 27: Chama anaipatia Simba bao la tatu.
Dk 26: Ruvu ni kama wanapoteana.
Dk 25: Chama anaipatia Simba bao la pili baada ya kuwapindua mabeki wa Ruvu.
Dk 12: Ruvu wameamka na kuanza kujipanga, wanafanya shambulizi kali inakiwa kona.
Dk 5: Simba wanafanya shambulizi kali.
John Bocco anaipatia Simba bao la mapema
Dk 2: Goooooooooo
Dk 1: Simba wanaanza kwa kasi
Mchezo umeanza

Mchezo unatarajiwa kuanza saa 1:00 Usiku.

Simba wameshatangaza kikosi chao kwa ajili ya kuivaa Ruvu Shooting katika mchezo wa Raundi ya Tano ya Azam Sports Federation Cup kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

View attachment 2121221
Hiki kipigo benchi la ufundi ni lazima lijiuzulu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mpira ni dakika 78

Nashauri Kikosi cha simba kitoke tuingie mimi na
Dam55
OKW BOBAN SUNZU
Ghazwat

Wengine sijawataja sio kwamba nawa exclude au sija show love hapana ila najaribu kufanya hivyo ili kubalance atleast ruvu wapate ushindani
Mi naenda kuchukua namba ya chama pale nipige tatu zangu namimi fastaa 🤣🤣
 
Sasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?

Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+

Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Ulitaka faulo zielekezwe Kigambon au kwenye kidimbwi chenu
 
Back
Top Bottom