Kiufundi Yanga walikuwa vizuri hata timu yao kiujumla ni nzuri kuliko Simba. Hongereni watu wa Yanga.
HAHAHA AMETULIA HANA WASIWASI SIJUI KAKALIA NINI..UMETISHA cc genta
kiufundi yanga walikuwa vizuri hata timu yao kiujumla ni nzuri kuliko simba. Hongereni watu wa yanga.
Yanga oyoooo...werra werraaa!...jaman rahaje leooooo! Oyooooooooooooooo
Huu ndio Ukweli, nawe hongera kwa kuwa mkweliKiufundi Yanga walikuwa vizuri hata timu yao kiujumla ni nzuri kuliko Simba. Hongereni watu wa Yanga.
Simba atashinda mbili bila
Bado kama masaa ka 10 ivi Kiiza Diego ajipigie Yanga yake
Ame PAKATWAAA..
hahahahaa leo genta atakuwa na hasira sana,na hivi hampendi jerry mbona patamu?
samahani nikikuwa kwenye kampeni za ubunge.UKAWA .nipeni matokeo.jangwani tunacheka?