Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

samahani nikikuwa kwenye kampeni za ubunge.UKAWA .nipeni matokeo.jangwani tunacheka?
 
Simba mlidhani kila siku Jumapili ee!!,kuna Jumamosi pia...una Toyota Corrola unataka kuweka ligi na BMW 750 Turbo Engine, utaweza wapi!!-Kwisha ndandambi zenu.
 
Kiufundi Yanga walikuwa vizuri hata timu yao kiujumla ni nzuri kuliko Simba. Hongereni watu wa Yanga.
Huu ndio Ukweli, nawe hongera kwa kuwa mkweli
Wengine wamezoea kukataa matokeo.
 

Attachments

  • Kiiza celebrates as Yanga beat Simba 2-0 on 26 Sept 2015.jpg
    Kiiza celebrates as Yanga beat Simba 2-0 on 26 Sept 2015.jpg
    6.7 KB · Views: 273
Last edited by a moderator:
Kiufundi Yanga walikuwa vizuri hata timu yao kiujumla ni nzuri kuliko Simba. Hongereni watu wa Yanga.

.....and that's our Masuke,ukweli wako umekuweka huru.
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani cjui Jerry muro leo atasemaje maana hadi kwamoyo nilikuwa nikiamini ccm itashinda lkn kwa hili Leo ukawa nendeni Pemba km yanga mabadiliko yanaweza tokea kwakweli ingawa csapoti ukawa.
 
hongereni Ndala, ila HAMNA mpira tuwe wakweli tu, mnabutua butua na kusibiri matukio, MPIRA WA TANZANIA UTAKUJA PANDA KIWANGO SIMBA SC ITAKAPORUDI KTK HADHI YAKE, na ndiko inakoelekea sasa!
MNYAMA KAJERUHIWA, sasa yeyote atokeaye mbele ni bakora tu mpaka tunachukua ndoo!
TUACHE UBISHI, MPIRA WA KITABUNI SIMBA WANACHEZA, hii haina ubishi! Tumecheza mpira mzuri na kupoteza nafasi, Yanga butua butua na kusubiri matukio, mpira wa kimataifa ndo maana hamsongi!
TZ NI YA SIMBA SC.
 
samahani nikikuwa kwenye kampeni za ubunge.UKAWA .nipeni matokeo.jangwani tunacheka?

Huu ni mwaka wetu mkuu,Yanga kampakata Simba kwa goli 2-0,bado hapo October Lowassa ampakate Magufuli.
 
Back
Top Bottom