Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Kwa hiyo Simba anacheza na vibonde sio ?
Sizani kama vibonde ligi ya wanashika nafasi ya tano.Ila nimezungumzia advantage ya climate na hawa jamaa wamefika jana,kipindi cha pili watakuwa hoi.
 
Kikosi Cha Leo watu hawana Imani nacho.

Ila chasambi, mutale na Saido wana aina Moja ya uchezaji. Lakini sijui inakuwaje makocha wa Simba huwapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…