LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Utapewa vishikia mahindi aka mabunziAnafungwa nipo pale nakata gogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapewa vishikia mahindi aka mabunziAnafungwa nipo pale nakata gogo
Sizani kama vibonde ligi ya wanashika nafasi ya tano.Ila nimezungumzia advantage ya climate na hawa jamaa wamefika jana,kipindi cha pili watakuwa hoi.Kwa hiyo Simba anacheza na vibonde sio ?
Vibonde kabisa ila atafungwa hutoaminiKwa hiyo Simba anacheza na vibonde sio ?
Kipindi cha pili Simba atashikilia bomba ipasavyoKipindi cha pili watakula nyingi hawa, maana sizani kama wanaweza kistahimili joto hili Dara,kwao walipotoka kuna baridi.
We huoni vijana wanaomba pooKweli jana sisi tulicheza utopolo ila wenzetu mnacheza ngoma gani golini mwa wapinzani wenu?
Haya mmepewa penati na hampati goli hahaha kipa yule sio paziaUtapewa vishikia mahindi aka mabunzi
Sikiliza penati iooooooooKweli jana sisi tulicheza utopolo ila wenzetu mnacheza ngoma gani golini mwa wapinzani wenu?
Hakuna goli hapo utashangaa hahahaKwenye redio
Kakosa hahahaTuta
Sikiliza penatiiiiii ioooooHaya mmepewa penati na hampati goli hahaha kipa yule sio pazia
Sizani ,umeiona straight red card ila refa kamchunia.Kipindi cha pili Simba atashikilia bomba ipasavyo