Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Huko kushambuliwa ndo kunawakomaza...!

Utajuaje kuwa una ukuta mzuri kama hamshambuliwi..!

Ni kama vile Bwana Baka alivyokuwa anasifiwa kumbe alikuwa hajakutana na challenges
 
Kama kuna watu ambao huwa hawana kabisa utulivu mbele ya goli na hata ukiwaona mpira jihakikishie kabisa kuwa SIO GOAL, basi ni Mkukwala na Mutale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…