Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Tusijidanganye..hapa hakuna timu yenye ushindani. Simba bado sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penaaaaaaati
Mmepelekewa moto wa gesi mpaka mnaomba mpira uishe hahahaTumeshinda kwa mbide sana, kikubwa alama 3 kibindoniView attachment 3163419
Ila kocha aangalie vizuri namna anavyoendea michezo muhimu kama hii.Tumeshinda kwa mbide sana, kikubwa alama 3 kibindoniView attachment 3163419
Supu ya nini vibudu?Hivi wewe Wakati game haijaanza walikupa supu?
Zaidi ya goli la penalty akuna cha maana mlichofanya,,licha ya kukutana na Majimaji ya Angola bado mmeonyesha udhaifu mkubwa,,tutakuja kuwaeleza udhaifu wenu siku nyingine adui usimwonyeshe siraha atakudhuru!SIMBA hana kelele yeye ni vitendo tuu
Timu bado na mwalimu anabahatisha. Hajui anachokitafuta.Tusijidanganye..hapa hakuna timu yenye ushindani. Simba bado sana!
FULL TIME HAPA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
SIMBA SC 1 ( Jean Charles Ahoua 26')
FC BRAVOS de Marquios 0
Tumetoboa7 jumlisha 5 za uzembe 13
umeionaje Mechi ya leo mkuu kwa uchache?FULL TIME HAPA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
SIMBA SC 1
FC BRAVOS de Marquios 0
Mutale ni harakati za Mr pimbi🤣🤣Muntale ana harakati nyingi sana. ni kibu denisi aliyechangamka.
Kabisa, kocha ana kazi kubwa ya kufanya.....Mpira umeisha lakini kikosi hakijaonesha Mpira wa kuvutia.
Kocha mpaka sasa bado hajaonesha anachofundisha kina muunganiko wa kitimu.
Ushindi wetu unategemea zaidi ufundi wa mchezaji mmoja mmoja.