Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

C9FBFDF7-2368-4FBC-988B-1B7B8B0E45E4.jpeg
 
Tumeshinda Alhamdulilah!
 
SIMBA hana kelele yeye ni vitendo tuu
Zaidi ya goli la penalty akuna cha maana mlichofanya,,licha ya kukutana na Majimaji ya Angola bado mmeonyesha udhaifu mkubwa,,tutakuja kuwaeleza udhaifu wenu siku nyingine adui usimwonyeshe siraha atakudhuru!
 
Mpira umeisha lakini kikosi hakijaonesha Mpira wa kuvutia.

Kocha mpaka sasa bado hajaonesha anachofundisha kina muunganilo wa kitimu.

Ushindi wetu unategemea zaidi ufundi wa mchezaji mmoja mmoja.
Hapa mwishoni wametafutana sana
 
Back
Top Bottom