Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Bravos siyo kitu mbele ya Simba ambo nina imani watawachapa mabao siyo chini ya mawili. Kinachonisumbua akilini ni jinsi Yanga tutakavyoendelea kuzomewa. Yaani tunapata nafasi tisa halafu tunashindwa kufunga hata bao moja?
 
uliwaona kuwa ni wabovu lakini ujuwe ukienda kichwa kichwa manundu tu. Kama kulwa.
 
Hii team imefanya makosa inafika masaa 18 before game na inaenda kucheza na mnyma mpaka naionea huruma ikavavyo chakazwa
Walichagua kufanya kila kitu wakiwa kwao.
Mbinu yakishamba sana.

Wenzao waarabu huwa wanauoga huu ila hawa wamezidi aisee
 
Bravos siyo kitu mbele ya Simba ambo nina imani watawachapa mabao siyo chini ya mawiili. Kinachonisumbua akilini ni jinsi Yanga tutakavyoendelea kuzomewa. Yaanui tunapata nafasi tisa halafu tunashindwa kufunga hata bao moja?
Kwani mlikuwa mmejipanga kushinda?

Kule Algeria mnasubiriwa kwa hamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…