Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Inashangaza kwa kweli.Yani Chasambi anacheza dakika 80+ Captain Lucho yuko nje? Okejefah alikuwa na game nzuri, unamtoa unamuingiza Mutale kweli?... Kuna muda makocha huwa wanarogwa eeh?
Penati ya kupewa na refa wapi VARKama penati rahisi mbona wao wamekosa...
Ungepinga wewe au AzizWale jamaa wameniangusha sana kukosa ile penati
Kama hujaona mkono ulivyoshika mpira katafute miwani ya lenzi mbonuko itawanye mwanga....Penati ya kupewa na refa wapi VAR
Hii haijaisha.. kolo akienda kwao lazima apasukeKuna yale magoli mawili waliyokosa pia wameniangusha sana hawa Kolo walikua wanakufa 3
Sahihi kabisa. Nafasi yake leo alitakiwa kucheza FernandesYeye na Mohamed Hussein ni mabingwa wa "Back passes". Hana ubunifu wa kuipenya ngome ya mpinzani, ingawa ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pasi za uhakika (Accurate passes) akiwa peke yake akiwa hajakabwa.
Upana upi mnepanuka wapi? Tukuulize mmepanuka wapi mbele au nyuma?Kikosi kipana ndo hiki...kama kimeweza kicheza hakijaruhusu goli mnataka upana upi??
Jibu wanalo utopolo hahaahhUpana upi mnepanuka wapi? Tukuulize mmepanuka wapi mbele au nyuma?
Mtafungwa huko Angola mpaka mchakae leo mlikua mnauma ulimi mpira uishe maana timu mbovu muda wote pressure juu juu tuPoleni jamani Utopolo machungu ya jana hayawezi kufutika kwa Simba hii...
HuuuuureeeeeeeππππππͺπΏπͺπΏπͺπΏπͺπΏ This is SIMBA πͺπΏβ€β€β€π¨Mpira umeishaaaaa
Wewe ndio mnasema mmepanua kikosiJibu wanalo utopolo hahaahh
Subirini Angola mnaenda kufa vibaya hahahaHuuuuureeeeeeeππππππͺπΏπͺπΏπͺπΏπͺπΏ This is SIMBA πͺπΏβ€β€β€π¨
πππππKwa mbiiiinde saaaana
ππππππππSubirini Angola mnaenda kufa vibaya hahaha
Ndio kazi yake hyo.. we unafikiri analipwa kwa sababu ganiMshukuruni Camara leo pale zilikua sio chini ya goli 3 wavuni