Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Kikosi kipana ndo hiki...kama kimeweza kicheza hakijaruhusu goli mnataka upana upi??
 
Poleni jamani Utopolo machungu ya jana hayawezi kufutika kwa Simba hii...
 
Yeye na Mohamed Hussein ni mabingwa wa "Back passes". Hana ubunifu wa kuipenya ngome ya mpinzani, ingawa ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pasi za uhakika (Accurate passes) akiwa peke yake akiwa hajakabwa.
Sahihi kabisa. Nafasi yake leo alitakiwa kucheza Fernandes
 
Poleni jamani Utopolo machungu ya jana hayawezi kufutika kwa Simba hii...
Mtafungwa huko Angola mpaka mchakae leo mlikua mnauma ulimi mpira uishe maana timu mbovu muda wote pressure juu juu tu
 
Leo utopolo siwaoni humu kwa wingi wao...kumbe uzi ili utembee ni mpk mle sare au mchezee kipigo uzi utafika afu moja comments na zaidi...hahahah
 
Back
Top Bottom