Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Hawa vyura wa utopolo hivi wana akili kweli..hii ni group stage hapa ni points tuu...yy kashapasuka huku kwetu kila mtu ashinde mechi zake..kwa Mkapa ni machinjioni...
 
Hawa vyura wa utopolo hivi wana akili kweli..hii ni group stage hapa ni points tuu...yy kashapasuka huku kwetu kila mtu ashinde mechi zake..kwa Mkapa ni machinjioni...
Hata wanaelewa? Ndio maana Jana walitaka kupiga 5G matokeo yake?.
 
Wana Simba maoni yenu yote ya humu JF wameshayapata benchi la ufundi....na ni vzr kwa sbb wangeshinda nyingi wangeenda kulala Angola kwa sasa wameshawajua wapinzani wao..kikubwa Point 3 zimebakia home.....
Mnyama ataingia robo fainali kama ilivyo kawaida...
 
Yule Ngoma nimeangalia pass zake kwakweli ziko very accurate...hapotezi akitaka kumpa mtu inaenda pale pale...safi sana
Ngoma akipata mkabaji mzuri pembeni anakupa game nzuri sana, shida huanza pale unapompa majukumu ya kukaba na kuchezesha completely.
 
Ngoma akipata mkabaji mzuri pembeni anakupa game nzuri sana, shida huanza pale unapompa majukumu ya kukaba na kuchezesha completely.
Mwalimu ameshaona panapovuja...
wachezaji wako bien wote ni marekebisho machache tuu...
 
Back
Top Bottom