Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 933
- 1,912
Wacha roho mbaya wewe. Pira lote hilo wewe bado unaleta dharau ??Hapa hamna timu, Huyu kocha tuachane nae mapema kabla ligi haijaanza maana Naona ni aibu kubwa tunaenda kupata🚮
U.T.I suguIla Dar kuna watoto wakali, shida ni vimalaya
Tofauti na Azam Max hakuna mtu mwingine ana chimbo lenye hii mechi ikiwa live ndugu zangu?🤔
Mbona hakuna kitu mkuu kwenye hii link..
Sowah na Mwalimu hawana uwezo wa kumuweka nje Mukwala labda siasa itumikenauona msimu wa steve dese mukwala