Pata aibu ila kikubwa pointi 3Sisi makolo tunabebwa hadi tunaona aibu wenyewe!!
Kweli unauliza man?Nani kapata ?
Ubaya ubwelaMatokeo vipi jamani ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubaya ubwelaRefa Ikibidi waongeze dakika 45 nyingine
Livescore hata mtandao ukikata huwa inaendelea tu kuhesabu dakikaLiveScore inaonyesha dakika za nyongeza hadi sasa ni 19