FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Aha ha ha maajabu hayataisha duniani
 
Utopolo wanahonga timu ndogo ziwakazie simba na ziwalegezee wao lakini kichapo kitaendelea kuambatana na maumivu makali hadi mnyooke
Ila wakikutana nao wanawalegezea halafu wakishinda timu pinzani ndio wanafurahia badala yao..
 
Refa kaongeza dk 25 na simba alipopata bao mpira ukaisha palepale.
Mashujaa waende cas, waombe pt 3 na magoli 3 kama aliyofanya yanga.
Ushahidi ninao
 
Wameshinda ila hawana furaha
Ndio tulitamani.goli zaidi ya 6 tuwaulie mbali manina zenu ...na waliowatuma na pesa mlizowaahidi ili waikamie simba wote tuwapige goli sita...
 
Kibendera ndio kachoma pale, hata wachezaji walivyomuatak refarii akawaelekeza wakamlalamikie kibendera.
Ila wamama mngetuachia mchezo wetu sisi wababa, mbona sisi hatuwaingilii kwenye mchezo wenu wa rede???
 
Waliopo uwanjani wawazomee hao Makolo wizard hadi yaone aibu ZAIDI
 
Karia ndie Rais bora wa TFF kuwahi kutokea. Atake asitake tutamlazimisha aendelee kuongoza TFF.
Ujinga mtupu mazingira ya sasa ya mpira yanambeba, sasa hivi serikali imewekeza kwenye michezo, mpira sasahivi unalipa siyo kama zamani, maendeleo ya technology ni makubwa, lakini mpira kauharibu, akija mtu makini tutafika mbali sana kwa uwekezaji huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…