Jibu swali we kingorokundu berkene ni timu Gani?Tuliza bing nyash kwanza.
simba bingwa ndani na kimataifa,hutaki nenda CASSimba my team ila mioyo inawasuta
Mkubali
Ila uwezo hatuna
Huna kocha.
Huna wachezaji.
Haukuwepo ,sasa hivi serikali inajenga na kuboreshq viwanja , imewwka mazingira bora ya wawekezaji kudhamini ndiyo maana unaona hadi singida ina hela ya kutosha,Wapi Kwa Sasa serikali imewekeza Kwenye mpira na huo uwekezaji haukuwepo kipindi cha Malinzi?
Naona tundu linakuwashaJibu swali we kingorokundu berkene ni timu Gani?
Hatuchethi na nyieDeal done
Malengo yametimia
Kashinda 2-1
Ila ukweli utabaki
SImba ni ccm iliyochangamka.
No reform No election.
Sawa mkuusimba bingwa ndani na kimataifa,hutaki nenda CAS
Uliangalia? Kama uliangalia bas wewe ndiye stupidWaamuzi wafanyiwe tathmini na siyo kuonyesha ushabiki uwanjani, it stupid hata kuangalia mpira wa tz ni kama maigizo
Jitoeni kwenye ligi, mna declare maigizoUmesahau kuwa watu walisha declare hawana tena imani na hiyo Bodi
haki imetendekaKibendera ndio kachoma pale, hata wachezaji walivyomuatak refarii akawaelekeza wakamlalamikie kibendera.
Ila wamama mngetuachia mchezo wetu sisi wababa, mbona sisi hatuwaingilii kwenye mchezo wenu wa rede???
Mashabiki wasiojua mpira wanashangilia kila kitu hawastahili hata kujadilo mpira haya endelea kushangilia ushindi , maana level yako ya akili ndio imeishia hapoUliangalia? Kama uliangalia bas wewe ndiye stupid
safarihi safarihi ahiiiiiiiiiiii atakula c chini ya mbiliSawa mkuu
Muhimu tumfunge yanga derby
Nisielewe nini wakat naelewa zimeongezwa 15 za upotevu wa mpira uwanjani na Simba kashinda 2-1 kwa penati. Na kwamba amepata pointi 3.Mbeleko fc anyway huwezi elewa
Kwani nyie mlikuwa hamuwakamiii?Ndio tulitamani.goli zaidi ya 6 tuwaulie mbali manina zenu ...na waliowatuma na pesa mlizowaahidi ili waikamie simba wote tuwapige goli sita...
Hakuna unachojua utopolo wewe. Endeleeni kulalamikaMashabiki wasiojua mpira wanashangilia kila kitu hawastahili hata kujadilo mpira haya endelea kushangilia ushindi , maana level yako ya akili ndio imeishia hapo
Waende CASTupo hapa sasa kusikiliza malalamiko