Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Ndio mara ya kwanza dakika kuongezwaKuongeza muda
Unajua dk zilizoongezwa? Au upo kishabikiNdio mara ya kwanza dakika kuongezwa
Msingepata penati za Refa zingekuwa 10 😂😂Kwani walizopteza Simba na Mashujaa uwanjani ni ngapi hadi unakataa kuongezwa 25.
Mchezo wa kawaida tu ambapo tunaona hakuna upotezaji wa muda huwa zinaongezwa 3 hadi 5. Otakuwa huu ambapo timu inafikia hadi kipa kupewa kadi 2 za njano.
Nendeni kasi kama mnaona mmeonewa mashabiki wa Utopolo.
Kafumgwa Mashujaa maumivuj yanasikaka matopeni
Sasa mnasumbuliwa na mashujaa mtamuweza Mwananchi.Ni mwendo wa undava undava tu mpaka ubingwa maana hawa GSM walianza kutuzoea vibaya... kumamaer this time tunabeba ubingwa labda dunia ipasuke... mlishatuzoea sana nyie mabwege.
.. Ni marufuku pia, kuja na mbuzi uwanjan👿Sasa mnasumbuliwa na mashujaa mtamuweza Mwananchi.
Hatutaki tena kelele za wazee wenu.
Aibu ww na basha wako, sisi ni shangwe tu..mambo ya aibu sana haya.
ko ww ba basha wako ndo mnashangweka leo kufurahia dhurumaAibu ww na basha wako, sisi ni shangwe tu..
15 minutes na bado wakaendelea kupoteza mudaUnajua dk zilizoongezwa? Au upo kishabiki
Refa wa mwananchi nae tunamnunua shenzySasa mnasumbuliwa na mashujaa mtamuweza Mwananchi.
Hatutaki tena kelele za wazee wenu.
Umewahi kuona mechi gani duniani imeongezwa dakika 25? Maana hii ni extra timeKwani walizopteza Simba na Mashujaa uwanjani ni ngapi hadi unakataa kuongezwa 25.
Mchezo wa kawaida tu ambapo tunaona hakuna upotezaji wa muda huwa zinaongezwa 3 hadi 5. Otakuwa huu ambapo timu inafikia hadi kipa kupewa kadi 2 za njano.
Nendeni kasi kama mnaona mmeonewa mashabiki wa Utopolo.
Kafumgwa Mashujaa maumivuj yanasikaka matopeni
Ukiangalia bila kuweka ushabiki utagundua sio penati.Wewe unaonaje ile sio penati? Ile sio faulo?
Umewahi kuona mechi gani duniani imeongezwa dakika 25? Maana hii ni extra time
Sio CAS tu ikiwezekana waende hata COET hata Udom ikiwezekanasimba bingwa ndani na kimataifa,hutaki nenda CAS
tatizo wakuwashughulikia ndio wanaowatuma.Kabisa yaani, waamuzi wanapaswa kudhughulikiwa Ili kutoa funzo
Hakuna, ipo dakika 28,lakini si majeruhi umeme ulikuwa unakatika
Kuna nn hapaWewe ni wale mashabiki wa kijiweni siyo mpenzi wa mpira endelea kushangilia tu
Umewahi kuona mechi gani duniani imeongezwa dakika 25? Maana hii ni extra time
Kuna dakika 42 brotherHakuna, ipo dakika 28,lakini si majeruhi umeme ulikuwa unakatika
Hii nchi ina uozo Nenda Burundi utaenda ku enjoy soka inakochezwa dakika 2 FT game inaisha..Dakika 8 kipindi cha kwanza 17 kipindi cha pili.. 8+17=25
Hii nchi kila sehemu ni uozo.