Watulie kabisa.Nishatuma Bahasha huko tulieni
Half Time.dakika yangapi?
Bado Berkane anawasubiri round hii hawana bahatiTumehonga refa, tutashinda sisi Mnyama ๐คฃ
Umehamia liniHalf Time.
Sisi Makolo tumekandwa kimoja
๐๐๐๐๐๐๐Half Time.
Sisi Makolo tumekandwa kimoja
Mi kolo mbona?Umehamia lini
Mashujaa.๐๐๐๐๐๐๐
mnacheza na tabora nini?
Rushwa gani?Marefa wana dhalirika sana, Kipindi cha kwanza mpira hakuna sehemu uli simama zaidi ya dk 2 lakini refa kaongeza dk 8 na faul za mchongo kibao.
Rushwa Ina haribu mpira wetu, yale ya VAR yaliyo wa beba wanatuletea kwenye Ligi sasa
Itaisha baada ya sisi kushinda.Hawa marefa wanachezesha mpira kwa maelekezo kama bodi ya ligi, mechi haina VAR ila maajabu kipindi cha kwanza tu zimechezwa dakika 53 na upuuzi badala ya 45๐๐
Ligi ya ndondo hii full uhuni!
ahaa kumbe na mashujaa wabishi kama tabora๐๐Mashujaa.
Tushamalizana ma refa
Hovyo kabisa refa kanunuliwa wazi wazi upuuzi mtupu mpira wq bongoView attachment 3322454
Litakufa Jitu Leo...
#nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
1. SIMBA
View attachment 3322721
2. MASHUJAA FC
View attachment 3322722
Updates...
Dk 04'
Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona.
Inapigwa haileti madhara.
Valentino..
DK 05'
Goooooooal Mashujaaa
Wanaweka chuma cha Kwanza.
Hapa
0-1
HT
Simba 0-1 Mashujaa.
Lazima wasemehawa ni familia leo watatueleza
๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐
mnacheza na tabora nini?