FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Marefa wana dhalirika sana, Kipindi cha kwanza mpira hakuna sehemu uli simama zaidi ya dk 2 lakini refa kaongeza dk 8 na faul za mchongo kibao.
Rushwa Ina haribu mpira wetu, yale ya VAR yaliyo wa beba wanatuletea kwenye Ligi sasa
Yani mchezaji wa Simba akiguswa tu faulo!
Marefa wetu wanajiondoa sana fahamu, amechezesha dk 3 za ziada baada ya dk 6 kuisha! Na alikuwa hana habari kabisa.
 
Simba ni wabovu, mechi zao nyingi wameshinda kwa maelekezo. Wakicheza bila maelekezo hawatoboi.
 
Simba wamefanya mabadiliko matatu.
Kibu Inn
Zimbwe Inn
Shomary Inn
 
Goli kipa wa Mashujaa kapewa yellow kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…