FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Aweso ni . mkimbiaji sio mtengenezaji
 
Mungu wangu!!!!! Mpira wa tumbo refa anaweka penalty!!!??? Huu ni UQUMA kabisa
 
Imetafutwa sana...namna hii ifike wakati hizi team zisusie hii ligi la kiquma. Waachieni Simba na Yanga ligi yao
 
Safi sana wanangu wa ushujaani, ubaya ubwege lazima tumnyooshe
 
Mashabiki wa Simba nambie mnaona mchango wowote wa Awesu kwenye timu?

Moja ya wachezajI wa kawaida wenye bahati ya kuchezea timu kubwa NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…