Mbona kuna tetesi kuwa leo Yanga watakimbia mechi?Leo Yanga tutaingia kinyonge sana kutokana na namna timu yetu inavyocheza kwenye mechi mbili za mwisho tulizokutana na mtani. Ingawa lolote linaweza kutokea.
mbweni tegeta huku kakaHilo dimba liko wapi nije kuwapa support wananchi??
Uwanja umejaa majiMbona kuna tetesi kuwa leo Yanga watakimbia mechi?
Sasa uwanja kujaa maji si walitakiwa kuwa na subira hadi siku ya mchezo, kunakuwa na kukagua uwanja baina ya timu zote mbili na match officials kisha wanakaa mezani kuafikiana. Zile video walizochukua ni dalili za uoga wa kupoteza mara mbili mfululizo ndani ya wiki moja.Uwanja umejaa maji
Ila game leo lazima ichezwe tu hakuna namnaSasa uwanja kujaa maji si walitakiwa kuwa na subira hadi siku ya mchezo, kunakuwa na kukagua uwanja baina ya timu zote mbili na match officials kisha wanakaa mezani kufikiana. Zile video walizochukua ni dalili za uoga wa kupoteza mara mbili mfululizo ndani ya wiki moja.
Hakuna mechi leo subiri saa kumi taarifa itatoka.
Na kwa nini wakimbie! Isije ikawa wanawachezea shere wapinzani wao. Hata simba nao walishawahi kuwafanyia Yanga hiki kitu.Mbona kuna tetesi kuwa leo Yanga watakimbia mechi?
Ipo fresh ila sio saanaHali ya uwanja ikoje hapo maana nahisi Kwa mvua na maji Haya.
Just imagine ndio nchi unategemew kuandaaa mashindano ya CUFHuu uwanja tutafurahia soka kweli?
Kazi tunayo.Just imagine ndio nchi unategemew kuandaaa mashindano ya CUF
Kama timu zote mbili zina miaka zaidi ya 90 tangu zilipoanzishwa! na bado hazina viwanja vyao binafsi kwa ajili ya mazoezi na mechi! Let us wait and see.Huu uwanja tutafurahia soka kweli?
Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Just imagine ndio nchi unategemew kuandaaa mashindano ya CUF
Hatari sana mama kubwaYa Lipumba?🤣🤣🤣