Kuna mianya mingi sana wachezaji wa Yanga wanaiacha kwanzia kwenye kiungo kuja hadi kwenye beki, kuna magoli zaidi ya mawili kwa Simba kama watatumia nafasi Simba. Kimfumo na kimbinu Smba ipo bora kuliko YangaAtleast !
😂😂😂 Uzuri dawa zipo ukizodiwa unawahi pharmacy,ila manjesta nae amekataa uteja😜😜😜 huku majesta tunajipigia , huku simba tunajipigia kwa huu utamu lazima nife na kisukari
Usije ukaikimbia comment yakoTulia wewe dawa ikuingie
Manjesta tumepiga kenge zote😂😂😂 Uzuri dawa zipo ukizodiwa unawahi pharmacy,ila manjesta nae amekataa uteja
😂😂😂😂😂Nikitulia ndiyo wanazidi kufunga acha tu nipege keleleTulia bwashee mapema sana !
Utabiri ukitimia nitakununulia soda.Yanga 3 simba 2
Ahhh kumbe chama la wana😂😂😂Manjesta tumepiga kenge zote
Mkuu ndiyo maana nimesema benchi la ufundi nimejumlisha kilaza Pedro na vifungashio vyake vyote. Wamejazana watu kibao halafu wote ni averagePlus kocha kilaza.
MnoAhhh kumbe chama la wana😂😂😂
Asante, niandalie soda water bafaru na kandimu kabisaa mapemaUtabiri ukitimia nitakununulia soda.
Twendezetu mzee
Sawa kuhani 😅😅Kutangulia sio kufika, tunajitafuta
Mtaelewa
Mark hiyo comment, tupo pamoja hadi kipenga cha mwishoUsije ukaikimbia comment yako