Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
SawaMark hiyo comment, tupo pamoja hadi kipenga cha mwisho
Simba mwenda pole ndiyo mla stekiπ₯π₯π₯π₯Kutangulia sio kufika, tunajitafuta
Mtaelewa
Naomba leo tufungwe ili atimuliweMkuu ndiyo maana nimesema benchi la ufundi nimejumlisha kilaza Pedro na vifungashio vyake vyote. Wamejazana watu kibao halafu wote ni average
sio mlwa steki ?Simba mwenda pole ndiyo mla steki
Mkuu wahenga hawapendi huwabadilishie maanaππsio mlwa steki ?
hahaa sawa mkuu nili add AI .,, "mwenda pole hajikwai "Mkuu wahenga hawapendi huwabadilishie maana
Uyo mnyama takupakata mwenyew !Jaman dah leo mnyama anatupakataa
2:1 anayeongoza ni Simbangap ngap
scroll kule juu, utaona !ngap ngap
πππhahaa sawa mkuu nili add AI .,, "mwenda pole hajikwai "
Ndo wanafanyiaga mazezi haw wanyama !Ila huu uwanja viongozi wa Simba hawajatutendea haki.
Haupo vizuri leo. Tope. Kuna ladha tunakosa.Ndo wanafanyiaga mazezi haw wanyama !
Ladha gani na ww unataka maana tope nalo linaladha yakeππHaupo vizuri leo. Tope. Kuna ladha tunakosa.