chororingo
Senior Member
- Jan 15, 2008
- 104
- 92
As vita akifikisha points 10 na yeye atakuwa amemfunga simba. Sasa itategemea amemfunga simba magoli mangapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumezipokea pongezi zako ewe utopolo.🙏Hongereni Simba kwa matokeo mazuri! Mko vizuri
Shukrani sanaHongereni Simba kwa matokeo mazuri! Mko vizuri
😀 sawa bana hongereni mmewaotea hao leo. Ila punguzeni sifa huku mtaani kelele tupu aargh.Tumezipokea pongezi zako ewe utopolo.🙏
Ila siwapendiiShukrani sana
Kinachowaponza nyie mna mdomo sana kabla ya match.😜😀 sawa bana hongereni mmewaotea hao leo. Ila punguzeni sifa huku mtaani kelele tupu aargh.
Mmh mkuu mdomo tunawazidi nyie kweli? Huku mtaani kuna makelele huwa yanatokea mkicheza dah😀Kinachowaponza nyie mna mdomo sana kabla ya match.😜
Halafu hama uswahilini.😁😁Mmh mkuu mdomo tunawazidi nyie kweli? Huku mtaani kuna makelele huwa yanatokea mkicheza dah😀
Uswahilini ndiyo kuzuri mkuu! Nihamie wapi aah hapana acha tu ntapambana na hayo makelele ya Simba tushawazoea nyie😀Halafu hama uswahilini.😁😁
Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.Sawa mkuu.
Kwa mfano Vita akishinda mechi zake zilizobakia na Simba afungwe zote,apo watalingana point kati ya Simba na Vita,je nani atapita apo?
Hatua ya makundi hakuna goli la ugenini, magoli ya ugenini yanakuwa kwenye mechi za mtoanoItategemea AS Vita atamfunga Simba goli ngapi. Ili Vita apite atatakiwa kumfunga Simba pale Kwa Mkapa kwa tofauti ya kuanzia goli 2, yaan 2-0, 3-1 etc.
Maana timu zinapolingana points huangaliwa H2H baina yao. Sijajua kama hii H2H huhusisha pia advantage ya goli za ugenini
Magoli mengi ya vita umeyatoa wapi? Simba ana gd +5 vita ana -1. Uwezekano wa Vita kumzidi simba magoli ni kwenye mechi zilizobaki.Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.
Tatizo ni huyo kibonde el merreikh anaweza akapigwa 6 kule congo. Tukifungwa 1-0 na vita halafu al ahly akatufunga 2-0 tunabaki na gd +2 ambazo vita anaweza kufunga zaidi dhidi ya el merreikh. Simba kufuzu ni draw au win dhidi ya vita na si kutegemea gd.Kimahesabu Simba ni kama ameshapita robo. Hebu tumuangalie vita. Mechi ya kwanza kafungwa 1-0 na Simba.Halafu VITA akamfunga Merrekh 4-1. Hapo vita anaondoka na goal difference ya 2, Mechi ya Al Ahly na VITA ilikuwa 2-2, VITA anabaki 2 ile ile.Leo kakubali kichapo cha 3-0, Ana deni la -1. Simba anayo magoli +5 mkononi. Kwenye mpira lolote linaweza kutokea lkn nafasi ya VITA ni ndogo sana.....! Pia tukumbuke pengo la S.S.C ni kuwa wa kwanza kwenye kundi...! H2H VITA na Simba Congo Vita kapigwa home..
Yaani njia peke ya As Vita kupata matumaini ya kufuzu ni kumfunga Simba kwa zaidi ya goli moja hata ikiwa ushindi kwa tofauti ya goli moja (2 kwa moja, au goli tatu kwa mbili, n.k)Hapa pamenifikirisha, Sasa AS VITA alipigwa kwao na Simba....ndo kusema AS VITA akifurukuta saaana ataishia point 10 ambazo Simba Sasa anazo. H2H VITA alipigwa na Simba tena nyumbani...! Kwa hiyo Kwa Simba njia Nyeupee....
Vitu vya sheria havitaki maono na mtizamo Bali vinataka fact/sheria/Kanuni zinasemaje.Wanaanza kuangalia kwanza Head 2 Head, matokeo yenu nyinyi wawili mechi zote 2, ikitokea mko sawa, mfano Simba kashinda Congo 1, na Vita kashinda Dar 1 bila hapo wanakuja kigezo number 2 ambacho ndio Goal Difference, ikitokea GD bado mpo sawa vinakuja vigezo vingine mpaka number saba, nachelea kuviandika kwa kuchanganya nilisoma katika gazeti, kigezo cha mwisho number nane inachezeshwa droo kati yenu atakayeshinda ndio anaendeleaMimi nadhani kama simba atafungwa game zote na Vita akashinda zote kitakachoangaliwa ni goal difference ambayo mpaka sasa bado inambeba Simba ambaye amefunga magoli 5 na hajafungwa lolote hivyo ana goal difference ya +5, huku Vita amefunga 6 na amefungwa 6 hivyo ana goal difference ya 0.
Hivyo ili vita apite inabidi amfunge Simba goal labda 3 pia Ahly amfunge simba magoli mengi huku Vita akiendelea kujitahidi asifungwe zaidi ili goal difference zimbebe,
Ni kwa mtazamo na maono yangu,
Hizi hesabu zako zote zitakufa pale Vita akimfunga El Mereik, na akamfunga Simba goli zinaizidi Simba kwa 2, kisha Simba akafungwa na Al Ahly.Kimahesabu Simba ni kama ameshapita robo. Hebu tumuangalie vita. Mechi ya kwanza kafungwa 1-0 na Simba.Halafu VITA akamfunga Merrekh 4-1. Hapo vita anaondoka na goal difference ya 2, Mechi ya Al Ahly na VITA ilikuwa 2-2, VITA anabaki 2 ile ile.Leo kakubali kichapo cha 3-0, Ana deni la -1. Simba anayo magoli +5 mkononi. Kwenye mpira lolote linaweza kutokea lkn nafasi ya VITA ni ndogo sana.....! Pia tukumbuke pengo la S.S.C ni kuwa wa kwanza kwenye kundi...! H2H VITA na Simba Congo Vita kapigwa home..
Unajichanganya,Hapa pamenifikirisha, Sasa AS VITA alipigwa kwao na Simba....ndo kusema AS VITA akifurukuta saaana ataishia point 10 ambazo Simba Sasa anazo. H2H VITA alipigwa na Simba tena nyumbani...! Kwa hiyo Kwa Simba njia Nyeupee....