FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Huyu Mugalu huyu, hana chochote cha kitu kwa leo.
 
Mugalu salamu za kmmke zikufikie popote ulipo jibwa wee
πŸ˜“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....

Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
 
Sio kwamba wamepokelewa na Azam. Simba ndio imewapokea kama mwenyeji, na imewakodishia basi la Azam. Ni utaratibu wa kawaida wa CAF. Hata Namungo wanaweza wakaomba basi la Simba litumiwe na wageni wao Nkana
Simba aliwakodishia Basi la Happy Nation wakalikataa wakachukua kivyao la Friends wao Azam. Anyway vyovyote iwavyo sawaπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…