herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Kwa tukio la Morison kupewa kadi kaonewa, katendewa madhambi,kafanyiwa vurugu. Morison kaonesha ukomavu kwa tukio hli kunalolote lingetokea kwa kipindi cha nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kwa maelezo ya mchambuzi5
kwani ana kadi 2?
huyu tumepigwa pakubwa sanaMugaluuu leo vipii
😓😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mugalu salamu za kmmke zikufikie popote ulipo jibwa wee
Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....
Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
Simba aliwakodishia Basi la Happy Nation wakalikataa wakachukua kivyao la Friends wao Azam. Anyway vyovyote iwavyo sawa👍👍👍Sio kwamba wamepokelewa na Azam. Simba ndio imewapokea kama mwenyeji, na imewakodishia basi la Azam. Ni utaratibu wa kawaida wa CAF. Hata Namungo wanaweza wakaomba basi la Simba litumiwe na wageni wao Nkana
Al Merrick alifunga 1 akikosa mengiMugalu zaidi ya kufunga ile penati kule Congo alifunga mechi gani tena?