FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Hawa vita wana bahati tuko kwenye maombolezi, wangekula za kutosha leo!
 
ahly ana point 8 mpaka sasa, sisi tuna 13..... bado game moja tu ya simba vs ahly so wakitufunga watakua na point 11.....
Hawa tuna undugu nao hata ceo wetu anajua, tukienda misri tunaenda kuangalia the mummies aka kutalii...
 
Naomba nirudie hapa leo ni kwa faida ya Yanga, wanaoiaribu yanga ni mashabiki coz mmeaminishwa Simba huwa ananunua mechi na leo tena endelea kujiuliza hv n kweli huwa ananunua? Lazma mjue kichaka cha viongozi wenu wanajifichia kwenye kichaka cha Simba ananunua mechi marefa wanalipwa na Mo. Jmn km vipi hamieni Simba tu. Watu wanahama dini, kabla, nchi sembuse kuhama Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…