FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Ila ingewezekana,tuanze nao tuwafunge nje ndani hapa hapa waendelee na ligi ya ndani

Kauli mbiu now
# Tunawataka Buyern
Angalau na sisi Yanga tutapanda ndege mwakani. Nchi itakuwa na wawakilishi wa nne.
 
Akitunga anaishia point 11. Sisi tuna 13 Hawezi kutufikia mpaka sasa sisi ni group winner na mechi Moja mkononi.
Hata sasa timu hii misri imeshapita nafasi yake ya pili kwa pointi nane alizonazo kwa maana hata Vita akishinda mechi yake ya mwisho atafikisha pointi saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…