King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Sisi Yanga bado tuendelee kumdai MO 20B? Au munasemaje 🐸🐸 wenzangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtuheshimu sasaAngalau na sisi Yanga tutapanda ndege mwakani. Nchi itakuwa na wawakilishi wa nne.
Angalau na sisi Yanga tutapanda ndege mwakani. Nchi itakuwa na wawakilishi wa nne.
Kuna watu wamenuna
Wako vizuri ila kwangu wydad na watunisia ni wabaya zaidi.Mkuu Mamelodi wapo vizuri tusikate japo katika mpira lolote laweza kutokea maana hata sisi tulimchapa Ahly kinyume na ya wengi.
Labda zama zinabadilika maana waarabu ni kama tumeshaupata mwarobaini wao.Wako vizuri ila kwangu wydad na watunisia ni wabaya zaidi.
Hahahaaaaaa hahahaaaahalafu hata haturingi yaani
Hata sasa timu hii misri imeshapita nafasi yake ya pili kwa pointi nane alizonazo kwa maana hata Vita akishinda mechi yake ya mwisho atafikisha pointi saba.Akitunga anaishia point 11. Sisi tuna 13 Hawezi kutufikia mpaka sasa sisi ni group winner na mechi Moja mkononi.
Simba ndio kitu pekee kinatuunganisha na Mama D